Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
25. Dec '18, 18:52
Ad ID: 1162370
TSh 6,600

Bracelet Watches

Ilala, Ilala Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free Delivery in Daressalaam

Details
Price negotiable
No
Condition
New
Description

Hongera!
.
Kama unaona ujumbe huu inamaanisha ni miongoni mwa watu wachache walio na bahati kubwa sana.
.
Haijalishi wewe umeajiriwa / mwanafunzi ama huna kazi kabisa hii ni FURSA ambayo inaweza kukupatia kipato cha ziada kwa haraka. .
Ni FURSA mpya kabisa ambayo inahitaji mtaji mdogo wa 66000TZS kuanza Biashara yako ya kipekee ya SAA imara za Bracelets (kacha) zenye muonekano mzuri wenye kuvutia.
.
Kwa 66000TZS unapata SAA 10, ambapo kila saa1 ni sawa na 6600tzs.
.
Jinsi ya kuuza RejaReja (Bei ni kati ya 12000 mpaka 18000) kulingana na wateja walio kuzunguka.
.
Tupo na Rangi na Design nyingi sana TUNAKUCHANGANYIA sisi.
.
Tunatuma Mikoani kwa Gharama nafuu(Malipo kwanza) Kwa waliopo Dar pia tunaleta kwa Gharama nafuu(Malipo baada ya kupokea mzigo).
.
Offer Hii ni ya Muda mchache sana, wahi mapema kabla Offer haijamaliza.
.
Tupo Daressalaam | QualityCentreMall.

dar_dealz
Member Since 20. Jul '12 53 Total Ads / 45 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.