Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
Friday, 09:10
Ad ID: 2185907
TSh 230,000

ELECTRIC FENCE

Kinondoni, Kunduchi Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

ELECTRIC FENCE
Hii ni fence ya umeme yenye kupiga shoti, pindi mtu yeyote atakapojaribu kukatiza fence kuingia au kutoka nje ya kampound kupitia either juu ya ukuta au mahali ilipofungwa fence, pia king'ora kitalia na taa ya strobe kutoa taarifa kwa mtumiaji kuwa kina kitu kisicho cha kawaida .
Kuna aina mbili za fence.

1.Top wall Electric fence( juu ya ukuta)
2.Free stand Electric fence(juu ya aridhi)

TOP WALL ELECTRIC FENCE hizi zinafungwa majumbani juu ya ukuta wa fensi.
FREE STAND ELECTRIC FENCE hizi mara nyingi zinafungwa mashambani,

Standard Electric fence (Top wall) inakuwa na line 8 minimum otherwise kuna sababu zingine.

Materials like Poles(nguzo) standard ni Aluminium poles kwasababu hazishiki kutu, na pia zinamuonekano mzuri, pia kuna aina nyingi za wire kama (Galvanized wire, Aluminium wire na Stanley steel wire)

Fundi mzuri lazima afunge Earth load zaidi ya moja, kuipa nguvu fence ya kupiga short na kulinda mashine.

Kwa wateja wangu wa DAR huwa tunawashauri kufunga Aluminium poles,(nguzo),
Aluminium wire au Stannely steel wire kutokana na mazingira ya chunvi, faida zake ni kwamba;
1.Hazishiki kutu
2.Hazipati layer ya chunvi inayopunguza uwezo wa kupiga shoti
3.Zinakaa muda mrefu sana
4.Zina muonekano mzuri

Gharama kufunga fence zinategemea mambo yafuatayo

Ukubwa wa ukuta ( material yatatumika mengi au machachekulingana na ukubwa wa ukuta)
2.Shape ya fence je? Ukuta wako umenyooka au upo straight, au unakonakona au ngazi ngazi, ukuta ulionyooka materials yatatumika machache hivyo bei itakuwa chini ukilinganisha na ukuta wenye kona kona au ngazi.
Watu wengi wamekuwa wakitapeliwa na mafundi jua kali, kwa kufungiwa fence zisizo na ubora kwa vifaa visivyoendana na mazingira. Au ufungiwa vifaa used na kuaminishwa ni vipya kwasababu tu either tajiri haelewi lolote, tamaa za mafundi, tajiri amelazimisha, au mteja kutaka bei rahisi,
Madhara yake yapo hivi, unaweza amini kuwa fence inafanya kazi kumbe ilishakufa siku nyingi, fence inakufa baada ya miezi sita au chini ya hapo tangu ifungwe, mwizi anauwezo wa kupita kwenye hiyo fence bila kupigwa short.
Karibu nikufanyie kazi nzuri bora na ya uhakika kwa usalama wa nyumba na mali zako..

Kipeme
Member Since 21. Jul 31 Total Ads / 30 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.