Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Tani X TX3 Mini Android TV Box

TSh 185,000
Ad ID
892938
Posted at
24. Mar, 10:26
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Brand
Other
Location
Dodoma Mjini Dodoma
Description

TANIX TX3 MINI Android TV BOX ni kifaa kitachokufanya ufurahie zaidi TV yako kwa kukufanyia vifwatavyo
.
?Kukuwezesha kustream mechi ya michezo mbalimbali iwe UEFA,EPL,NBA,UFC,Cricket,NFL etc.
.
?kusikiliza radio stations mbalimbali za duniani.
.
?Kusikiliza albums za miziki na compilations kutoka kwa wasanii wote duniani.
.
?Kutumika kama kifaa cha karaoke kwani ina database ya nyimbo zote.
.
?Kustream movies na series na kukuwezesha kudownload kiurahisi zaidi
.
?Kucheza videos zako za 4K,MKV,HEVC na nyinginezo nyingi kutoka kwenye Flash,External HDD au Memory Card.
.
?Miracast; hii inakuwezesha kuproject vilivyopo kwenye simu yako au tablet kwenda kwenye TV.
.
?Kutumia Skype,Facebook,Twitter na application nyingine nyingi kwenye kioo kikubwa cha TV yako.
.
?Ina 2GB RAM na 16GB internal memory hivyo ina nguvu zaidi.
.
?Kucheza games za Android.
.
OFFER PRICE: 185,000/=(LIMITED)
☺☺☺Karibuni Sana☺

Samuel
Member Since 14. Sep '14 1 Active Ads 2 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.