Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Tablet za Watoto Kusomea

TSh 190,000
Ad ID
1110738
Posted at
10. Dec '18, 14:40
Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Delivery Offered
Yes
Brand
Other
Screen Size
17.5 Inches
RAM
1 GB
Storage Capacity
32 GB
Location
Kinondoni, Kinondoni Dar Es Salaam
Description

Kwanini uendelee kugombana na wanao kwa sababu ya kutumia Smartphone yako ..

JIPATIE TABLET ZA KISASA ZA WATOTO KUJIFUNZA Na KUSOMEA kwa bei poa kabisa

*Zijue sifa za Tablet hizi special kwa watoto
1.Zina videos za kujifunza namba & Alphabets
2.Zina Vitabu vya hadith nzur za watoto
3.Zina nymbo nzur za kujifunza na kuburudisha
4.Zina Games mbali mbali za watoto
5.Zina Arts studio za watoto kuchora na rangi
6.Zina Bluetoth and wifi hazitumii line
7.zina Camera na Charge kukaa kwa mda mref
8.Unaweza kutumia kwa matumizi ya kawaida kwa kudownload programs aina zote

Kwa maelezo zaid whasp
*Free Delivering in Dar mikoani Tunatuma

Haya sasa mpende mwanao kwa kumuandalia Mazingira ya kisasa Ya elimu

EvandaBusiness
Member Since 20. Feb '18 7 Active Ads 8 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.