Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
22. Mac, 14:33
Utambulisho wa Tangazo: 1345810
TSh 180,000

VYUMBA VIPYA VINAPANGISHWA KINYEREZI

Ilala, Kinyerezi Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Terms
Inahitaji Kodi ya Miezi Sita
Maelezo

Kwa wale wanaotaka nyumba mpya ambayo haijakaliwa. Ukitaka

  1. Chumba 1 master 120,000;
  2. Chumba na sebule 180,000;
  3. Vyumba 2 vyote vina choo + sebule na jiko 300,000/=
    Mazungumzo yapo.

Vipo Kinyerezi Mbuyuni karibu kabisa na barabara inatazama kituo cha basi. Ukishalipia kodi unawekewa tiles mpya na chochote utakachohitaji, unahamia ndani ya siku 3.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Mama Rukia
Mwanachama tangu 23. Feb 2 Total Ads / 2 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Email
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!

Jiunge na Mailshot yetu

Kujulishwa kwa punguzo za bei