Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
3. Mar, 08:32
Utambulisho wa Tangazo: 1735307
TSh 20,000

CHARCOAL BRIQUETTES

Temeke, Temeke Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Inategemeana na umbali

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Maelezo

Mkaa Bora mkaa Safi mkaa unaondena na Hali ya uchumi kwa sasa.

Mkaa huu mbadala unaotengenezwa kwa ustadi wa Hali ya juu Sana, kwa kutumia takataka mbalimbali sasa umewafikia Wana Mwanza/ Dom/ Dar.

Ni muhimu Sana kuwa nao kwani Ni gharama nafuu, unawaka kisawasawa, huivisha vizuri, hauna harufu Wala hautoi Moshi.

Unawasaidia Sana
✓ wauza Chips- ukiwaka umewaka
✓mama ntilie- uliweka wa 5000 huu unapika mpaka jioni
✓ wa mahotelini kwa ajili ya barbeques, na mapishi mbalimbali- unawaka Muda mrefu na huisha taratibu mno
✓Mashule ya bweni na day wanaokua na program za kupikia watoto na wanafunzi
✓ majumbani - mapishi yetu uliweka PC 3 jikoni maharagwe yanaiva kabisa unaunga na kulika vinavyofuata.

Kumb: Gharama Ni nafuu
Rafiki wa mazingira
Unaivisha kwa haraka gesi ikasome.

Tuwasiliane:
MWANZA
Dar / Dodoma

ZoomTanzania Disclaimer:
Excessive drinking of alcohol and smoking is harmful to your health. Sale of alcohol and cigarettes to individuals above 18 years only.
CHARCOALBRIQUETTES
Mwanachama tangu 1. Mar 1 Total Ads / 1 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Activate Notifications
To receive the latest updates & news
Subscribe
Deactivate Notifications
To stop receiving the latest updates & news
Unsubscribe
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!