Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
Tuesday, 21:11
Utambulisho wa Tangazo: 2291275
TSh 25,000,000

VIWANJA VIZURI VINAUZWA ILAZO UNAWEZA UNGANISHA

Dodoma Mjini Dodoma
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Price per square unit
Hapana
Square units
540.0 m²
Maelezo

VIWANJA VIZURI VINAUZWA ILAZO(UNAWEZA UNGANISHA)

MAHALI- #Ilazo Extension-Dar es salaam road

UMBALI TOKA TOWN-7Km toka town centre

UKUBWA WA VIWANJA-viko viwili vinafatana na unaweza unganisha vyote
A.540SQM
B.540 SQM

DOCUMENT -Full

MATUMIZI-makazi
-pia vinafaa sana kwa appartments za kupangisha kwani panafikika kwa urahisi san

BEI-25M kwa kila kiwanja

HUDUMA -maji+umeme viko Jirani kabisa

SIFA ZA ZIADA
-Viko mita 100 toka barabara ya lami,ni karibu sana na lami
-viko sehemu ambako pamejengeka sana
-Ardhi yake ni nzuri sana na tambarare

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
stevenmasaka@gmail.com
Mwanachama tangu 30. Dec '15 96 Total Ads / 52 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!