Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
7. Oct, 07:55
Utambulisho wa Tangazo: 2179867
TSh 17,000,000

VIWANJA VIZURI VINAUZWA GOBA MPAKANI

Kinondoni, Goba Dar Es Salaam Goba Mpakani
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
Goba
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Hapana
Square units
500.0 m²
Maelezo

MRADI MPYA
GOBA MPAKANI.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia.
-Umbali toka barabara ya lami ni 1.5km.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Viwanja vimepimwa kuanzia square meter 500 na kuendelea.
-Eneo lake ni zuri, tambarale na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Bei ya square meter moja ni 34,000.
-Hati utapewa baada ya kumaliza malipo.
NJIA ZA MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 5.
KARIBUNI SANA?

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Peter Kisasa
Mwanachama tangu 16. Jun 38 Total Ads / 34 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!