Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
Thursday, 13:59
Utambulisho wa Tangazo: 2254490
TSh 35,000 / m²

VIWANJA VIZURI SANA VYA MAKAZI VINAUZWA BUNJU A DSM

Kinondoni, Bunju Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Ndiyo
Square units
2,294.0 m²
Maelezo

▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
Viwanja viko: BLOCK J, BUNJU A, DSM
— Viwanja viko sehemu nzuri sana kwa makazi. Huduma zote za kijamii zipo.
— Viwanja vimepimwa na vina hati miliki.
-- Viwanja vina mita za mraba 2,294 na 1,368
— Viwanja vinafaa kwa ujenzi wa makazi, n.k
— Viwanja viko km 2 toka barabara kuu ya bagamoyo.
— Bei: Tsh. 35,000/- kwa mitamoja ya mraba. mazungumzo yapo.
— Viwanja vimezungukwa na Eneo ambalo limeendelezwa sana.
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Lugalabam Juniour
Lugalabam Juniour
Mwanachama tangu 30. Jul 23 Total Ads / 23 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!