Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
Thursday, 00:19
Utambulisho wa Tangazo: 2275660
TSh 10,500,000

Viwanja Vinauzwa Kigamboni Somangira Tsh Million 10.5 Tu Kwa Square Meter 700

Temeke, Somangira Dar Es Salaam Kigamboni Somangira
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
Abdul
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Hapana
Square units
700.0 m²
Maelezo

COLDWELL PROPERTY LIMITED Ni Wauzaji Na Wakopeshaji Wa Viwanja Na Mashamba Bila Riba Wala Dhamana.
MRADI
KIGAMBONI DEGE
SOMANGILA
-Ni Mradi Mzuri Mno
-Umbali Ni 12 km Toka Kigamboni Ferry Na Kilometers 2 Toka Main Road(Kimbiji Road)
-Viwanja Vimepimwa Na Vina Beacon kabisa Zinazotambulika Halmashauri.
-Barabara Za Mtaa Zimechongwa Na Neighborhood Yake inavutia kwa kweli.
-Huduma zote Za Kijamii Zinapatikana.
-Bei Ni Tsh 15,000/= kwa Square Meter Moja.
-Hati Utapewa Ndani Ya Mwezi Mmoja Baada Ya Kumaliza Malipo Ya kiwanja.
MALIPO:
Unaweza Lipa Cash Ama Ukaanza Na 50% Na Inayobaki Utamalizia Kidogo kidogo Ndani Ya Miezi 5 Ukiigawanya Kwa Kila Mwezi.
#SITE VISIT Ni Kila Jumamosi.
Ofisi Zetu Zipo Mabibo Mwisho jirani Na Stendi Ya Daladala.
☎️Tupige:
KARIBUNI SANA ?

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Palace Property Limited
Mwanachama tangu 26. Apr 162 Total Ads / 41 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!