Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
18. Oct, 14:23
Utambulisho wa Tangazo: 2208839
TSh 20,000,000

Viwanja Vinauzwa Kigamboni Kisarawe Two

Temeke, Kisarawe II Dar Es Salaam Kigamboni Kisarawe Two
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
Abdul
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Hapana
Square units
1,000.0 m²
Maelezo

COLDWELL PROPERTY LIMITED Ni Wauzaji Na Wakopeshaji Wa Viwanja Na Mashamba Bila Riba Wala Dhamana.
MRADI
KIGAMBONI KISARAWE||
KIGOGO
-Ni Mradi Mzuri Mno
-Umbali Ni 18 km Toka Kigamboni Ferry Na Meters 500 Toka Main Road(Mwasonga Road)
-Viwanja Vimepimwa Na Vina Beacon kabisa Zinazotambulika Halmashauri.
-Barabara Za Mtaa Zimechongwa Na Neighborhood Yake inavutia kwa kweli.
-Huduma zote Za Kijamii Zinapatikana.
-Bei Ni Tsh 20,000/= kwa Square Meter Moja.
-Hati Utapewa Ndani Ya Mwezi Mmoja Baada Ya Kumaliza Malipo Ya kiwanja.
MALIPO:
Unaweza Lipa Cash Ama Ukaanza Na 50% Na Inayobaki Utamalizia Kidogo kidogo Ndani Ya Miezi 5 Ukiigawanya Kwa Kila Mwezi.
#SITE VISIT Ni Kila Jumamosi.
Ofisi Zetu Zipo Mabibo Mwisho jirani Na Stendi Ya Daladala.
KARIBUNI SANA ?

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Palace Property Limited
Mwanachama tangu 26. Apr 162 Total Ads / 40 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!