Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
24. Mar, 10:34
Utambulisho wa Tangazo: 1765203
TSh 10,000,000 / m²

Viwanja vinauzwa Iwambi,Mbeya/Plots for sale at Iwambi,Mbeya

Mbeya Mjini Mbeya Block F
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Ndiyo
Square units
600.0 m²
Maelezo

Viwanja hivi vipo Iwambi upande wa Maghorofa
Vina hati,
Ukubwa wake ni kuanzia sq 600

Iwambi ni mji mpya unaokuwa kwa kasi sana. Ni mji uliopangika vizuri sana.
Utaona baadhi ya picha za nyumba zilizopo Iwambi, ni nyumba nzuri sana na ni za kisasa.
Kwa sasa bei zinatofautiana kiwanja na kiwanja bei zimeanzia 10m hadi 15m bei ambazo zinazungumzika.
Karibu uwekeze nyumba za makazi, na biashara iwambi.
Kuna viwanja vya makazi na biashara!!!

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Zama_Auctionmart
Mwanachama tangu 3. Jun '19 20 Total Ads / 20 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!