Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
Leo, 06:36
Utambulisho wa Tangazo: 1383233
TSh 5,000,000

Viwanja vipo Vikawe Vinauzwa

Kinondoni, Bunju Dar Es Salaam Viwanja vipo karibu sana na barabaraba kuu ya Kutoka Baobao road kwenda kibaha.. Na ni Km 6 kutoka Barabara ya rami ya Bagamoyo road
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
00
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Hapana
Square units
654.0 m²
Maelezo

Viwanja vipoVIKAWE
Vipo umbali wa km 6  kutoka Barabara ya lami Bagamoyo road(Baobao shuleni)
Vipo vya ukubwa na bei tofauti kama ifuatavyo;
Sqm 500 kwa bei ya mill 4
Sqm 416 kwa bei ya mill 3.5
Sqm 540  kwa bei ya mill 4.3
Sqm 630 kwa bei ya mill 4.8
Sqm 654 kwa bei ya mill 5
Miundo mbinu ya  barabara ipo vizuri sana,maji na umeme vipo karibu sana na viwanja

Maongezi yapo

Piga Simu kwa muhusika/Hakuna Dalali..

Ukipata ujumbe huu mjurishe ndugu,Jamaa na Marafiki

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
 ALNOD ALFRED
ALNOD ALFRED
Mwanachama tangu 17. Jan '17 16 Total Ads / 5 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Email
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!

Jiunge na Mailshot yetu

Kujulishwa kwa punguzo za bei