Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
9. Oct, 19:25
Utambulisho wa Tangazo: 2187949
TSh 2,900,000

VIWANJA KWA MALIPO YA AWAMU DODOMA

Dodoma Mjini Dodoma
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Price per square unit
Hapana
Square units
475.0 m²
Maelezo

VIWANJA KWA MALIPO YA AWAMU

NIMEWALETEA VIWANJA KWA MALIPO YA AWAMU KATIKA ENEO LIITWALO MICHESE,NAOMBA TUIFAHAMU MICHESE KWANZA KWA KUSOMA MAELEZO HAYA

MICHESE-iko barabara ya Iringa karibu na hospital ya mirembe

KUPAKANA-michese inapakana na kikuyu,chidachi,kinyambwa extension na itega

UMBALI TOKA CITY CENTRE-kilomita 5.5 tu ila mpaka kufika kwenye viwanja vyetu ni 7.5Km,mwendo wa dakika 10 kwa gari toka mjini.anayekaa michese ni sawa na mtu anayeishi kisasa au nkuhungu kwa umbali

MADHARI-kwa karibu zaidi inapakana na ITEGA(ambapo palitengwa na CDA kipindi hicho watu wanajenga maghorofa) hivyo mtu anayekaa michese ni sawa na mtu anayekaa karibu na msasani,masaki ama oysterbay kwa dar

MIUNDO MBINU
#Barabara nzuri zinazopitika vizuri muda wote,iwe kiangazi au masika
#Huduma muhimu kama maji+umeme ziko karibu.

KUPIMWA
-kumepimwa na manispaa wenyewe,ambapo mwezi May 2018 ilitengwa 5.8Billions kwaajili ya kupima iyumbu,nala,mtumba,michese,ihumwa,mahomanyika,kikombo na nzuguni

NB-serekali kupitia manispaa iliuza viwanja sehemu zote walizopima na kuacha michese kuwa project ya mwisho sababu ya ukaribu zaidi na mjini kuliko sehemu zingine zote walizopima

DOCUMENT
-viwanja vina in-voice inayokusaidia kupata hati moja kwa moja kwa jina lako kuepuka gharama za kufanya Transfer of title deed

UKUBWA WA VIWANJA
-Kwenye ramani vina doti na pia soma Jedwali,vinaanzia ukubwa wa 475sqm mpaka 700sqm

-unaweza kuunganisha pia

BEI-kuanzia 2,920,000/= swipe? kuona list

SIFA MUHIMU
-ARDHI NI TAMBARARE
-STANDARD GAUGE RAILWAY IMEPITA MITA CHACHE TOKA VIWANJA VILIPO

KWENDA KUONA NI BUREEEE+USAFIRI UPO

SIKU ZA KWENDA SITE NI KUANZIA JUMATATU-J/MOSI SAA 3 KAMILI ASUBUHI MPAKA SAA 11 JIONI.

-KWA ANAYETAKA KUONA RAMANI TUWASILIANE

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
stevenmasaka@gmail.com
Mwanachama tangu 30. Dec '15 92 Total Ads / 51 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!