Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
1. Sep, 12:18
Utambulisho wa Tangazo: 2090333
TSh 2,500,000

Viwanja Bei Nafuu Sana Kigamboni Kimbiji Kwanzia Tsh Million 2.5 Tu kwa Square Meter 499

Temeke, Kimbiji Dar Es Salaam Kigamboni Kimbiji na Buyuni
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
Abdul
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Hapana
Square units
400.0 m²
Maelezo

♾️Karibuni Fapham Investment Company?️
??‍♂️??‍♀️??‍♂️??‍♀️??‍♂️??‍♀️??‍♂️??‍♀️
OFA OFA OFA !!!
MIRADI MIPYA
Maeneo Yafuatayo KIGAMBONI:
1️⃣KIMBIJI KIJAKA
2️⃣ BUYUNI BEACH PLOT
3️⃣ KIMBIJI BEACH PLOT
-Ni Miradi Mizuri Na Ya Kuvutia. 1️⃣ KIGAMBONI KIMBIJI KIJAKA
-Umbali Ni 35km Toka Ferry Na 25km Toka Kibada Center.
-Umbali Ni 3km Toka Kimbiji Center na 10km Toka Mwasonga.
-Viwanja Vipo Katikati Ya Mwasonga Center Na Kimbiji Center.
-Viwanja Vimepimwa Kuanzia Square Meter 400 yaani 20m kwa 20m Na Kuendelea.
-Bei Ya Square Meter Moja Ni Tshs 6250 Tu
-Huduma Zote Za Kijamii Zinapatikana.
-Hati Hutolewa Baada Ya Kumaliza Malipo.
MALIPO!
Ni millioni 2.5 Tu cash Malipo Yote Hufanyika Kwa Njia Ya Bank 2️⃣BUYUNI PEMBAMNAZI BEACH PLOT.
-Ni Mradi Mzuri Na Wa Kuvutia Sana.
-Mradi Upo Buyuni Pembamnazi Beach.
-Umbali Ni 45km Toka Kigamboni Ferry.
-Huduma Zote Za Kijamii Zinapatikana.
-Viwanja Vimepimwa Kuanzia Square Meter 400 Na Kuendelea.
-Eneo Lake Ni Zuri Na Neighborhood Yake Inavutia Kwa Kweli.
-Bei Ya Square Meter Moja Ni Tsh 37000 Kwa Mkopo Na Tsh 35,000 Kwa Cash.
Bei Ya Square Meter 400(20m kwa 20m) Ni Million 18.5 Kwa Mkopo Na Million 17.5 Cash.
✓Hati Hutolewa Miezi 3 Baada Ya Kumalizia Malipo Ya Kiwanja.
•Maongezi Yapo.
•MFUMO WA MALIPO:
Utalipa 50% Inayobaki utamalizia Kidogo Kidogo Ndani Ya Miezi 6

3️⃣BEACH PLOT II
KIMBIJI KWA CHALE
Umbali Ni Meter 400 Toka Main Road.
Bei Yake Ni Tshs 15,000 Per Square Meter Kwa Mkopo.
Bei Yake Ni Tsh 14,000 Per Square Meter Kwa Cash
MFUMO WA MALIPO:
Unaanza Na 50% Inayobaki Utamalizia Kidogo Kidogo Ndani Ya Miezi 18.
:SIKU ZA KWENDA SITE NI JUMATANO NA JUMAMOSI KWANZIA SAA 4:00 AHSUBUH SAFARI ZOTE ZITAANZIA OFISINI KWETU POSTA KITEGA UCHUMI KWA GHARAMA ZA TSH 10000 TU
NB:Bei Ya Viwanja Imejumlishwa Na Gharama Zote Za Hati
Please Call Me/WhatsApp number
?

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Palace Property Limited
Mwanachama tangu 26. Apr 153 Total Ads / 40 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!