Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
7. Sep, 09:45
Utambulisho wa Tangazo: 2104216
TSh 1,800,000

VIWANJA BEI NAFUU KISEMVULE & VIKINDU

Mkuranga Pwani Panda Magari yanayoelekea vikindu au kisemvule kisha shuka stand ya vikindu. Ukifika hapo nipigie simu nikupeleke site.
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
002
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Hapana
Square units
2,000.0 ft²
Maelezo

USIPITWE NA FURSA HIZI CHACHE TENA MUHIMU

?Kama wewe ni mfanyabiashara Au Mfanyakazi na unahitaji kuwekeza kwenye Ardhi basi fursa ni hii tena ya kipekee kabisa.

? VIWANJA VIZURI VINAUZWA VIKINDU KABLA YA KUFIKA KISEMVULE NJOO UJIONEE UONDO.

?Ni vizuri kwa biashara.
?Vizuri kwa makazi Salama
?Vizuri kwa kujenga dispensary, shule au duka la madawa.
?Vizuri kwa kujenga Apartments .

?? SIFA ZA VIWANJA VYETU.

?Maji yapo
?Umeme Upo unawaka.
?Barabara ipo inapitika mpka site
?Shule,soko na ofisi ya mtaa vyote vipo karibu.
?Usafiri kutoka stand ya vikindu hadi Mabagala,Temeke,Tuangoma, n.k GARI MOJA TU(daladala)
?Hati ya
mauziano original inatolewa ofisini hakuna ubabashaji hata chembe.
?Ukubwa ni Ft 50 kwa ft 40 ambapo sawa na mita 16 kwa 13.
?Bei ni Tsh. Milioni 1,800,000/= kwa mteja serious alofika site atapewa punguzo lenye kufurahisha.
?Viwanja hafikiwi na maji tiririka kipindi cha masiki kwani haliko bondeni.
?Walionunua mwanzo wameanza kujenga.

? *_KAMA UNAHITAJI PA KUKAA/PA KUENDESHEA BIASHARA ZAKO BASI TUWASILIANE KWA NAMBA HAPO CHINI.

?? KUONA SITE YA VIWANJA NI BUUREEE KABISA

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
SuperLand Tanzania
Mwanachama tangu 7. Sep 3 Total Ads / 3 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!