Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
15. May, 13:52
Utambulisho wa Tangazo: 1734223
TSh 150,000,000

1010 sqm LAND FOR SALE@ MBEZI KWA JUU (TANGI BOVU)

Kinondoni, Mikocheni Dar Es Salaam Mbezi kwa juu
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Hapana
Square units
1,010.0 m²
Maelezo

Kiwanja kikubwa (robo heka) sqm 1010 chenye HATI, kinauzwa.
Kipo Mbezi Juu (Tangibovu) Karibu na Kumbi za Stela Metelina, Njia ya Preme-rose Hall, au Chicago Beach Hall. Au karibu na kanisa la EPCT-Mbezi Juu
Kina maua (garden), miti mizuri ya kisasa na inayoongeza uzuri wa nyumbani kwako.
Kiwanja kimewekwa fensi na kimezungukwa na nyumba za makazi zenye utulivu wa hali ya juu.
Bei ni rahisi, imepunguzwa mpaka Tsh million 150.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
JE Trader company limited
JE Trader company limited
Mwanachama tangu 21. Feb 11 Total Ads / 11 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!