Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
11. Jun, 12:43
Utambulisho wa Tangazo: 1887385
TSh 12,000 / m²

OFA! OFA! ONGEZEKO LA MUDA WA MALIPO, KUTOKA MWAKA MMOJA MPAKA MIAKA MITATU

Kinondoni, Kijitonyama Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Ndiyo
Square units
600.0 m²
Maelezo

• Kutokana na athari za ugonjwa wa Corona (COVID-19), Makazi Investment Limited imeongeza muda wa malipo,
• Eneo la Mradi ni Kiluvya – Makurunge pamoja na Tundwi-Songani, Kigamboni,
• Viwanja vimepimwa, ukubwa ni kuanzia sqm 600,
• Bei ni 12,000 kwa sqm,
• Lipa kidogo kidogo ndani ya miaka mitatu (miezi 36), Unaruhusiwa kuendeleza kiwanja chako baada ya miezi 18.
• Usafiri wa kwenda kuona viwanja upo,
• Ofa hii ni ya mwezi mmoja TU, wahi sasa

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Makazi Investment Limited
Makazi Investment Limited
Mwanachama tangu 22. Nov '18
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!