Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
Saturday, 17:39
Utambulisho wa Tangazo: 2302134
TSh 8,500,000 / m²

Nauza kiwanja msalato karb na msalato international airport

Dodoma Mjini Dodoma Kama unatokea mjini shuka msalato mnadani ukifika hapo kufika site ni 2Km mbili tu
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Ndiyo
Square units
2,571.0 m²
Maelezo

Karibu umiliki kiwanja msalato karibu na uwanja wa msalato international airport eneo ni tambarare uwanda wa juu huduma ya maji na umeme vipo karibu na kiwanja
Umbali kutoka kwenye kiwanja hadi msalato international airport ni 1Km na umbali kutoka kwenye kiwanja hadi arusha road ni 2km
If interested njoo tujupeleke site bure kabsaa ukajionee madhari nzur sana ya msalato

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Justin MSHANA
Mwanachama tangu 14. May 4 Total Ads / 4 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!