Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
9. Oct, 17:01
Utambulisho wa Tangazo: 2187626
TSh 2,000,000 / m²

Miliki kiwanja kilichopimwa kigamboni Dege

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam Fika katika ofisi zetu zilizopo kigamboni kibada kituo gari bovu
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
Kilosa real estate agent
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Ndiyo
Square units
200.0 m²
Maelezo

Tunauza Viwanja vilivyopimwa kigamboni Dege sqm1=9000/=
Viwanja vipo kilomita1.5 ukitokea Barabara kubwa ya lami iendayo fery kigamboni au cheka.kilomita18 ukitokea fery kilomita20 ukitokea daraja jipya la Mwalimu Nyerere kigamboni.Vimepimwa kuanzia sqm 200,sqm300,sqm400,sqm500.BEI kuanzia milioni 2,milioni3,milioni4,milioni5,milioni6.Uzuri wa viwanja hivi huduma muhimu zote zipo.Hakuna garama zozote kuja KUTAZAMA viwanja.

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Kilosa real estate agent
Mwanachama tangu 3. Jun
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!