Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
12. Nov, 14:05
Utambulisho wa Tangazo: 2157974
TSh 2,500,000 / ekari

MASHAMBA YANAUZWA KILOMO SHULE

Bagamoyo Pwani
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Real Estate Type
Ardhi ya Kilimo
Price per square unit
Ndiyo
Square units
60.0 ekari
Maelezo
  • MASHAMBA YAKO NJIA YA BAGAMOYO, KILOMO SHULE
  • YANA UKUBWA WA HEKA 60, UNAKATIWA UNALOTAKA.
  • BEI ZAKE NI NZURI NA MAELEWANO YAPO.
  • BARABARA NI NZURI SANA YA KUENDEA MASHAMBANI.
  • YAKO UMBALI WA KM 10 NA 15 TOKA BARABARA KUU YA BAGAMOYO. NA KM 4 TOKA BARABARA YA MLANDIZI.
  • MAJI NA UMEME NDIO YANAWEKWA SASA.
  • MASHAMBA YAKO TAMBALALE NA HAYANA MILIMA WALA MABONDE.
ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Lugalabam Juniour
Lugalabam Juniour
Mwanachama tangu 30. Jul 23 Total Ads / 23 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!