Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
28. Aug, 18:50
Utambulisho wa Tangazo: 2082161
TSh 7,000,000

LAND FOR SALE

Bagamoyo Pwani
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
Viwanja vipo Kerege- Matumbi Pamezungukwa na makazi Vipo vya Sqm 400, 450, 500, 600 na kadharika Mita 500 Toka Bagamoyo Road Vipo kwa Bei ya Mil 7, mil 8, mil 9 na bei zinginezo kulingana na ukubwa wa kiwanja chenyewe. Pia ni sehemu yenye mwinuko na inafaa kwa matumiz ya makazi na mengineyo Utaratibu wa Malipo Full payment kwa Asiyependa kudaiwa au Kulipa kwa Installment, Unatanguliza 50% ya malipo- Then inayobaki (Unalipa kidogo kidogo kwa mda wa miezi 3 hadi 6 kulingana na Idadi ya viwanja ulivochukua.
Price per square unit
Hapana
Square units
500.0 m²
Maelezo

Viwanja vipo Kerege- Matumbi
Pamezungukwa na makazi
Vipo vya Sqm 400, 450, 500, 600 na kadharika

Mita 500 Toka Bagamoyo Road
Vipo kwa Bei ya Mil 7, mil 8, mil 9 na bei zinginezo kulingana na ukubwa wa kiwanja chenyewe.

Pia ni sehemu yenye mwinuko na inafaa kwa matumiz ya makazi na mengineyo

Utaratibu wa Malipo

Full payment kwa Asiyependa kudaiwa au Kulipa kwa Installment, Unatanguliza 50% ya malipo- Then inayobaki (Unalipa kidogo kidogo kwa mda wa miezi 3 hadi 6 kulingana na Idadi ya viwanja ulivochukua.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
0718 742 202
0718 742 202
Mwanachama tangu 29. Apr 4 Total Ads / 4 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!