Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
10. Sep, 16:02
Utambulisho wa Tangazo: 2114747
TSh 950,000,000

#KIWANJA KIKUBWA CHA BIASHARA KINAUZWA KIBAHA MJINI

Kinondoni, Bunju Dar Es Salaam Kibaha Town, around Kibaha Town council Offices
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Real Estate Type
Ardhi ya Biashara
Price per square unit
Hapana
Square units
4.0 ekari
Maelezo

SWAHILI
#KIWANJA KIKUBWA CHA BIASHARA KINAUZWA KIBAHA MJINI
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
MAHALI: MIZANI YA ZAMANI -KIBAHA MJINI.
MAELEZO: KIWANJA KIMEPAKANA NA OFISI ZA ALMASHAURI
YA KIBAHA MJI.
KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI MILIKI.
KIMEPAKANA NA BARABARA YA MORO.
ENEO LIMECHANGAMKA SANA NA KUNA
MAENDELEO SANA, PIA PAKO TAMBARALE.
LINAFAA: ENEO LINAFAA KWA HOTEL, APARTIMENTS,
OFISI, PETROL STATION, MALLS, YADI N.K.
UKUBWA: ENEO LINA UKUBWA WA HEKTA 1.6 (HEKARI 4).
ZAIDI: HATI MILIKI UNAIPATA BAADA YA MALIPO YA
KIWANJA.
BEI: TSH. 950,000,000/= (MAONGEZI YAPO)
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
ENGLISH
#PLOT FOR SALE AT KIBAHA TOWN CENTER- KIBAHA
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
LOCATION: THE PLOT IS LOCATED AT KIBAHA TOWN
CENTER, FORMER WEIGHING BRIDGE.
DESCRIPTION: THE PLOT OPPOSE KIBAHA MUNICIPAL
COUNCIL OFFICES.
THE PLOT IS SURVEYED AND GOT TITILE DEED.
THE PLOT IS BOUNDING MORO ROAD.
THE AREA AROUND HAVE DEVELOPED INDEED
SUITABLE FOR: THE PLOT IS SUITABLE FOR HOTELS, YARDS,
APARTMENTS, OFFICES, PETROL STATION,
MALLS.
AREA: THE PLOT HAS 1.6 HECTORS (4 ACRES).
MORE: THE TITLE DEED IS FOUND ON FINISHING
PAYMENTS.
PRICE: TSH. 950,000,000/= (NEGOTIABLE)
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Lugalabam Juniour
Lugalabam Juniour
Mwanachama tangu 30. Jul 23 Total Ads / 23 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!