Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
14. Sep, 11:41
Utambulisho wa Tangazo: 2122181
TSh 3,800,000

KIWANJA 5.5KM TOKA TOWN LIPA KWA AWAMU

Dodoma Mjini Dodoma
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Price per square unit
Hapana
Square units
500.0 m²
Maelezo

KIWANJA LIPA KWA AWAMU(MICHESE)

MICHESE-iko barabara ya Iringa karibu na hospital ya mirembe

KUPAKANA-michese inapakana na kikuyu,chidachi,kinyambwa extension na itega

UMBALI TOKA CITY CENTRE-kilomita 5.5 tu,mwendo wa dakika 7 toka mjini.anayekaa michese ni sawa na mtu anayeishi kisasa au nkuhungu

MADHARI-kwa karibu zaidi inapakana na ITEGA(ambapo palitengwa na CDA kipindi hicho watu wanajenga maghorofa) hivyo mtu anayekaa michese ni sawa na mtu anayekaa karibu na msasani,masaki ama oysterbay kwa dar

MIUNDO MBINU
#Barabara nzuri zinazopitika vizuri muda wote,iwe kiangazi au masika
#Huduma muhimu kama maji+umeme ziko karibu.

KUPIMWA
-kumepimwa na manispaa wenyewe,ambapo mwezi May 2018 ilitengwa 5.8Billions kwaajili ya kupima iyumbu,nala,mtumba,michese,ihumwa,mahomanyika,kikombo na nzuguni

NB-serekali kupitia manispaa iliuza viwanja sehemu zote walizopima na kuacha michese kuwa project ya mwisho kuuza sababu ya ukaribu zaidi na mjini kuliko sehemu zingine zote walizopima

DOCUMENT
-viwanja vina in-voice ambao ni mfumo mpya wa document baada yakufutwa kitu kinaitwa offer Letter ili kupunguza matatizo ya viwanja kama watu wawili kumiliki kiwanja kimoja,n.k -in voice ni document inayokusaidia kupata hati moja kwa moja kwa jina lako kuepuka gharama za kufanya Transfer of title deed

UKUBWA WA KIWANJA
500Sqm(zaidi yNB-shukrani za dhati kwa wateja wote waliowahi kununua viwanja michese kutoka instagram,jamii forum,kupatana.com,zoomtanzania.com na page zangu zingine mbalimbali

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
stevenmasaka@gmail.com
Mwanachama tangu 30. Dec '15 92 Total Ads / 51 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!