Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
12. Oct, 08:31
Utambulisho wa Tangazo: 1833395
TSh 100,000,000

Kiwanja kinauzwa milioni 100,000,000/=

Nyamagana Mwanza Kiwanja kipo nyegezi malimbe chuoni kinafaa uwekezaji wa hoteli,hosteli,kanisa,nk kiwanja kipo pembezoni mwa ziwa bei kinauzwa milioni miamoja tuuu ghalama ya kupelekwa saiti/kuonyeshwa kiwanja (savei) ni sh 20,000/= tuu ofisi zetu zipo wazi kuanzia saa mbili na nusu asubui mpaka saa kumi na mbili kamili za jioni karibuni sana
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Reference
OURDALALI MWANZA
Real Estate Type
Ardhi ya Biashara
Price per square unit
Hapana
Square units
8,000.0 m²
Maelezo

Kiwanja kinauzwa kipo mwanza nyegezi malimbe kimepimwa kinaukubwa wa 120*130 kipo juu ya mlima ila ni tambalale kipo karibu na ziwa ukiwa hapo kwenye kiwanja ziwa lipo karibu sana linafaa kwa uwekezaji wa hoteli au hosteli linauzwa million tisini tu

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
OURDALALI MWANZA
Mwanachama tangu 3. Apr
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!