Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
Saturday, 22:52
Utambulisho wa Tangazo: 2082063
TSh 15,000 / m²

#STRATEGIC COMMERCIAL LAND FOR SALE AT KIBAHA TOWN

Kibaha Mjini Pwani KIBAHA TOWN, 700M FROM NEW KIBAHA BUS TERMINAL
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Real Estate Type
Ardhi ya Biashara
Price per square unit
Ndiyo
Square units
3,015.0 m²
Maelezo

MAHALI: LULANZI, KIBAHA MJINI, PWANI.
MAELEZO: ENEO LIMEPIMWA TAYARI.
UMEME NA MAJI YAPO KATIKA ENEO.
ENEO LIMECHANGAMKA SANA NA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO.
LINAFAA: ENEO LINAFAA KWA SHULE, MAKAZI, BIASHARA,
YADI, GODAUNI N.K.
UKUBWA: ENEO LINA UKUBWA WA MITA ZA MRABA 3,051.
ZAIDI: ENEO LIKO MAHALI PAZURI SANA KWA UWEKEZAJI,
MITA 700 TOKA MORO ROAD..
BEI: TSH. 15,000/= KWA MITA MOJA YA MRABA.
(MAONGEZI YAPO)
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃

ENGLISH
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃
LOCATION: PLOT IS LOCATED AT LULANZI, KIBAHA
TOWN, PWANI.
DESCRIPTION: PLOT IS SURVEYED.
ELECTRICITY AND WATER SUPPLY AVAILABLE.
THE AREA AROUND HAVE DEVELOPED INDEED
SUITABLE FOR: THE PLOT IS SUITABLE FOR SCHOOL, ,
RESIDENTS, GODOWN, YARD.
AREA: PLOT HAS 3,051 SQM.
MORE: PLOT HAS CONDUCIVE ENVIRONMENT FOR
INVESTMENTS, 700M FROM MORO ROAD.
PRICE: TSH. 15,000/= PER SQM (NEGOTIABLE)
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Lugalabam Juniour
Lugalabam Juniour
Mwanachama tangu 30. Jul 23 Total Ads / 23 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!