Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
10. Sep, 09:38
Utambulisho wa Tangazo: 2113432
TSh 17,500,000

Beach Plot Poa Sana Kigamboni Buyuni Pemba Mnazi Tsh Milioni 17.5 Kwa Square Meter 500

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam At Kigamboni Buyuni Beach
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Reference
Abdul
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Hapana
Square units
500.0 m²
Maelezo

MRADI MPYA!!!
BUYUNI BEACH PLOT.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Mradi upo Buyuni beach.
-Umbali ni 37km toka Kigamboni Ferry.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Viwanja vimepimwa kuanzia square meter 400 na kuendelea.
-Eneo lake ni zuri na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Bei ya square meter moja ni 35000 kwa mkopo na 32,000 kwa Cash.
Bei ya square meter 400(20m kwa 20m) ni milioni 14 kwa mkopo na milion 12 cash.
-Hati hutolewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
-Maongezi yapo.
NJIA ZA MALIPO
Unatoa asilimia 50 inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi sita ama mwaka mzima ukiigawanya kwa kila mwezi.
KARIBUNI SANA?

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Palace Property Limited
Mwanachama tangu 26. Apr 152 Total Ads / 37 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!