Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
2. Nov, 17:46
Utambulisho wa Tangazo: 2244239
TSh 30,000,000

6 Plots @936sqm gezaulole beach area

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Hapana
Square units
5,616.0 m²
Maelezo

Viwanja sita vinauzwa vipo gezaulole pembeni ya South Beach Residences (kwa wachina). Vipo area ya beach 2.
Kiwanja cha 936sqm kinauzwa milioni 30.
Kiwanja cha 1872sqm kinauzwa milioni 55.
Eneo lipo karibu na manispaa ya kigamboni na umbali wa mita 400 kutoka beach limepakana na majengo ya south beach residences.
Umeme na maji vyote vipo 6.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
davidndossi2014@gmail.com
Mwanachama tangu 12. Apr '17 1 Total Ads / 1 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!