Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
23. Sep, 23:37
Utambulisho wa Tangazo: 2148045
TSh 500,000,000

35 Acres for sale at Vikindu

Mkuranga Pwani Vikindu Malela
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Price per square unit
Hapana
Square units
35.0 ekari
Maelezo

Shamba linaukubwa wa heka 35 na lipo Kilometer 14 kutoka kilwa road au Vikindu center, Shamba limeendelezwa kisasa limepandwa mazao mbalimbali kama midimu mipasheni minazi ipo mia tatu Kuna mipapai, mahindi, pia kuna heka 8 ambazo ni bonde la mpunga zuri tu na Kuna mabwawa kumi10 ya samaki Kuna mifugo kama ng'ombe mbuzi kuku na bata Shamba alizi yake nzuri sana unaweza lima mahidi nyanya, kwenye Shamba hili Kuna kisima cha maji pia kuna tenk kubwa Lita laki1 na matenki ya plastic makubwa yakuhifadhia maji yapo, pia kuna nyumba 3 za kuishi wafanya kazi kwa maelezo mengine zaidi piga cm bei millioni 500 documents Shamba lina Hati miliki, njoo ukague tufanye biashara garama za kwenda saiti kuona ni elfu 15

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Mpanga
Mwanachama tangu 1. Mar 247 Total Ads / 227 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!