Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
28. Sep, 07:56
Utambulisho wa Tangazo: 2158040
TSh 500,000,000

35 Acres for sale

Mkuranga Pwani Vikindu malela
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Price per square unit
Hapana
Square units
0.0 ekari
Maelezo

Shamba lenye ukubwa wa heka 35 lipo Mkuranga Vikindu ni Kilometer 14 kutoka Vikindu center Shamba limeendelezwa kisasa limepandwa mazao mbalimbali kama midimu mipasheni minazi mipapai pia kuna mabwawa kumi10 ya samaki Kuna mifugo kama ng'ombe mbuzi kuku na bata, na kuna heka 8 ambazo ni bonde la mpunga Kuna kisima cha maji kina toa maji masaa 24 na Kuna matenki makubwa yakuhifadhia maji kwa maelezo na picha zaidi tuwasiliane Shamba linavibali Hati miliki pia ndani ya Shamba Kuna nyumba 3 za kuishi wafanya kazi, bei millioni 500 maogezi kidogo yapo

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Mpanga
Mwanachama tangu 1. Mar 247 Total Ads / 225 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!