Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
8. Jul '19, 07:56
Utambulisho wa Tangazo: 1461729
TSh 180,000,000

12 Acres Plot at Vikindu-Dar es Salaam.

Kigamboni, Mbagala Dar Es Salaam Vikindu, Dar es salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Real Estate Type
Ardhi ya Makazi
Price per square unit
Hapana
Square units
12.0 ekari
Maelezo

12 Acres Plot at Vikindu-Dar es Salaam.
Plot iko Vikindu-Dar es salaam, kilomita 4 tu toka vikindu center na pale main road mpaka kuingia kwenye eneo. Plot ina ukubwa wa Heka 12. Eneo lina leseni ya umiliki kwa matumizi ya kuweza kufanya shamba na mpaka sasa ni shamba pamepandwa matikiti lakini pia waweza Fanya liwe eneo la Makazi ukauza kiwanja kimoja kimoja mpaka eneo likaisha.
Kwa pamoja na vilivyomo ndani Linauzwa mill 180 maongezi yapo.

Kwa maelezo zaidi nipigie au Chart Whatsapp kupitia namba yangu ya tigo

Price : Mill 180

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Kasobile Property
Mwanachama tangu 29. Oct '13 292 Total Ads / 289 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!