Furahia siku Tano ndani ya Zanzibar na Package hii itakupatia kila kitu hadi hoteli isipokua Tiketi ya Boti au Ndege. Na Tour hii itakua kama ifuatavyo:
Siku ya kwanza
Kupokelewa aidha bandarini au uwanja wa ndege Zanzibar. na kufikia Lost and Found Zanzibar na kupumzika siku nzima
Chakula cha Mchana Lukmaan restaurant
Chakula cha Usiku Forodhani Garden
Siku ya Pili
Baada ya Chakula cha Asubuhi, Tutakuja kukuchukua Hotelini na kukupeleka Spice Tour kujua spices tofauti na tiba zake, na jinsi zinavyooteshwa ndani ya Zanzibar. Pia utapata kuonja matunda na spices tofauti na kumalizia kama utapenda kununua Spices. Tukitoka Hapo Tutazunguka Stone Town sehemu tofauti za historia kwa kumalizia.
Chakula cha mchana Lukmaan Restaurant
Chakula cha Usiku Forodhani Garden.
Siku ya Tatu
Baada ya Chakula cha Asubuhi itategemea na safari yako utaondoka saangapi ili tukusindikize Baandarini au Uwanja wa ndege na kuagana
Gharama Zilizomo ndani ya Package
Gharama ambazo hazimo kwenye Package
Kama unahitaji Package ya siku zozote pia unaweza kuwasiliana nasi kwa simu au email yetu
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!