Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
19. Feb, 15:09
Utambulisho wa Tangazo: 1718833
TSh 650,000

Car seatcover

Kinondoni, Sinza Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Hali
Mpya
Maelezo

karibuni sana tunashonea seat cover za gari achana na za kuvisha ambazo hazidumu hizi unakaa nazo kwenye gari za milele kwasababu ni ngumu kuchoka pia ni zinapendezesha gari yako. unachagua mwenyewe rangi uipendayo au tunaweza kukuchagulia kulingana na gari yako kwa gari ndogo ndogo kama vile ist,vitz,ractis na nyenginezo tunashonea kwa laki 6 na 50 na kwa gari ndefu na kubwa kama vile harrier,noah na zengnezo kwa laki 7 na 50 karibuni sana for more info nichek whatsappp

Jurasho
Mwanachama tangu 17. Nov '19 17 Total Ads / 15 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!