Door to door
?? MIZANI ZA MAABARA
(DIGITAL ELECTRONICS SCALE??
Mizani hii Ni ya electronics kwa ajili ya;
?? *Mizani hizi zina uwezo wa kupima kuanzia 0.1g mpaka 10000g(10kg) kwa kadirio zuri na la uhakika sana.
?? *Mizani hii Ni portable na hutumia betri za kawaida kabisa
Ubora*
✓Mizani zetu ni imara,good accuracy,portable to handle na simple kuitumia.Inatumia betri za AA+size
✓Mizani hii itakurahisishia kupimia chemical na hata kuwarahisishia wanafunzi kufanya practical zao na mitihani mbalimbali
✓Njooo ujipatie kilichobora zaid.
Huduma ya delivered
??Tunafanya delivered free(bure) na kwa uaminifu mkubwa sana ndani ya mkoa wa DSM na kwa kuchangia kidogo kwa gharama ya usafirishaji nje ya mkoa wa DSM.??
Price:45000/=
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!