Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
13. Jan, 08:18
Utambulisho wa Tangazo: 955646
TSh 1,100,000

Incubator

Kinondoni, Goba Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

Kama inavyoonekana kwenye picha, ni nzima imetumika kidogo sana.
Bei Tsh, 1,200,000
Uwezo wa kutotolesha maya 1,500 kwa mara moja
Ufanisi ni 96% tegemea na ubora wa mayai yako
Nishati inayotumia ni umeme wa grid
Sababu ya kuuza: Niko nazo mbili na kwa uwezo wangu wa kuzalisha na kutafuta masoko nimeona sina haja ya kuendelea kuiweka bila kuifanyia kazi.
Mahali ilipo: Mbezi Makabe

Karibuni wote

semkiwa@gmail.com
Mwanachama tangu 1. Aug '12 5 Total Ads / 5 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Email
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!