Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
10. Jan, 10:09
Utambulisho wa Tangazo: 713070
TSh 200,000

Incubator za Sola na Umeme Mayai 32-120

Kinondoni, Makuburi Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Mikoani tunatuma na zinafika salama kabisa au unaweza kumtuma mtu wako ofisini kwetu akalipia na kukutumia.

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

Inatumia sola, umeme, au betri ya gari/pikipiki
Inatumia umeme 35 - 80watts
Zipo za mayai 36(200,000), 60(395,000), 96(425,000), 120(580,000), 180(680,000), 240(820,000) na 300(950,00)
Note: Namba za kwenye mabano ni bei za mashine husika.
Inafaaa sana kwa sehemu ambazo bado hazina umeme wa tanesco au sio wa uhakika.
Zina kifaa maalum cha kuongeza unyevu.(humidifier)

Tunatazamana na shule ya Yusuf Makamba, barabara ya Jeshini ukitokea Ubungo Extenal kwenda Tabata Kimanga.

Eco Farms Innovatives
Mwanachama tangu 2. Sep '15 5 Total Ads / 4 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Email
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!