Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
14. Oct, 13:43
Utambulisho wa Tangazo: 2198749
TSh 15,000

Plastick pallets

Kibaha Mjini Pwani
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Hapana
Hali
Mpya
Maelezo

Jipatie pallet za plastick kwaajili ya kukalishia bidhaa zisizohitaji unyevunyevu kama friji, freezer, mazao katika magunia, cement kwenye hardware na vingine vingi.

Pallet zetu ni imara na zinazodumu
●Haziharibiwi na aina yoyote ya udongo/maji
●Haziliwi na wadudu kama ilivyo kwa pallet za mbao
●Usalama wa mtumiaji
●Thamani ya pesa yako
●Unaweza kuigawa vipande hadi vinne kulingana na matumizi yako
●Ni rahisi kubeba/kuhamisha
●Zimetengenezwa kwa plastick asilimia 100 na hazihitaji suport katika kubeba mzigo.

Unatumiwa popote pale nchini. Pia kwa wale wanaohitaji kwa wingi, zipo za kutosha.

  • List item
Pwani Investment Agency
Mwanachama tangu 21. Aug 2 Total Ads / 1 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!