Ni rafiki sana kwa mazingira yasiyo na umeme wa uhakika
Inatumia umeme kidogo sana 35W sawa na unit 0.84 kwa siku.
Ni full automatic na inageuza mayai yenyewe
Inatumia sola, betri ya 12v au umeme wa kawaida.
Inachukua mayai 36 ya kuku.
Totolesha mayai ya kuku, bata, kanga, njiwa, kware nk
Ina ufanisi wa asilimia 95%
Tupo mkabala na shule ya Yusuf Makamba barabara ya Jeshini ukitokea Ubungo external kuelekea Tabata Kimanga