ARBOR GROUP OF COMPANIES LTD(ARBOR CAR IMPORTERS) Ni Kampuni iliyosajiliwa chini ya sheria ya makampuni ya mwaka 2002 yenye usajili namba 143781216. Inajishughulisha na Uagizaji wa Magari kwa gharama Nafuu.Sasa tumekuja na Mpango kabambe wa kuwawezesha Wafanyabiashara na Wafanyakazi waweze kumiliki vyombo vya usafiri kwa gharama nafuu sana lakini pia kuwapatia Mkopo wa Magari usio kuwa na Riba ili waweze kukuza Biashara zao..
Kama Wewe Unafanya Biashara ya Daladala sasa kampuni Itakukopesha Gari nyingine kwa gharama nafuu
Wateja Wafuatao Watapewa Kipaumbele Zaidi
➡️Wamiliki Wa Shule na Vyuo
➡️Wamiliki Wa Makampuni ya Utalii
➡️Wamiliki Wa Viwanda vya kufyatua Tofali
➡️Wamiliki Wa vyombo vya Usafiri wa Umma
➡️Wamiliki Wa Viwanda Vidogo Vidogo,Vya Kati na Vikubwa
➡️Makampuni ya Ujenzi
➡️Wafanyakazi wa Serikali na Wa Taasisi Binafsi
Na Wafanyabiashara wadogo waliosajiriwa na mamlaka husik a wote tutawapatia huduma ya mkopo wa magari kwa masharti nafuu sana Bila Riba.
UTARATIBU WETU
Kama unahitaji gari ya mkopo unatakiwa kuwa Angalau Gharama nusu 50% ya bei ya manunuzi ya gari unayotaka ,Kwa Wafanyabiashara hakikisha Biashara yako imesajiriwa na kwa wafanyakazi hakikisha una copy ya kitambulisho chako cha Kazi.
Kwa Maelezo Zaidi:
Wasiliana Nasi Tunapatikana Dar-es-salaam,Dodoma Na Kigoma.
Wote Mnakaribishwa
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!