Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
Monday, 02:01
Utambulisho wa Tangazo: 2303740
TSh 10,000

Moisturizing avocado oil ?

Kinondoni, Magomeni Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Maelezo

“Moisturizing avocado oil ? ni mafuta halisi ya parachichi yasiyo na viambata sumu wala kemikali yoyote, mafuta haya yanauwezo mkubwa wa kupenya kwenye ngozi na kati kati ya unywele hivyo basi kukupa faida zifuatazo....
Kwenye nywele.....

hulainisha na kurutubisha nywele
huziimarisha na kuzuia kukatika
hutunza unyevu wa nywele
hujaza na kurefusha kwa haraka
hutunza rangi na kuzipa mng'ao
huondoa mba
suluhisho la uhakika la upara
Kwenye ngozi
*Hulainisha ngozi na kuiongezea unyumbufu
*hupenya na kurutubisha mpaka ngazi ya pili ya ngozi(demis)
*hufifisha makunyanzi, michirizi mabaka na makovu
*huharakisha uponyaji wa vidonda na mikato
*huimarisha kucha na kuondoa magaga
Karibu tukuhudumie.

aluu
Mwanachama tangu 18. Jul '17
Verified via:
Email Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!