Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
3. Nov, 09:30
Utambulisho wa Tangazo: 2243246
TSh 10,000

Castor oil

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Gharama kwa mteja

Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Maelezo

MAFUTA YA NYWELE YA MNYONYO
10000(mil250)

Zuma natural products wanakuletea castor oil/mafuta ya mnyonyo, mafuta ya nywele ya maji, ni bidhaa asilia na bora kwa nywele zako,yanafaa kwa nywele aina zote

Yanafaa kwa watoto na watu wazima
pia kwa jinsia zote

Faida
Huzuia kukatika kwa nywele
Huondoa mba ndani ya siku3
Hukuza nywele
Hufanya nywele kuwa laini
Hujaza Nywele
Hufanya nywele kuwa nyeusi na kuvutia

Na zengine kibao

Napatikana kigamboni ferry DSM karibu na stand ya mwendokasi
Mzigo unakufikia popote ulipo hadi stand kwa gharama zako ndani na nje ya dsm

IN BOX NI RAHISI ZAID KUIONA SMS YAKO

Zuma
Mwanachama tangu 2. Nov 1 Total Ads / 1 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!