Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
28. Apr, 11:31
Utambulisho wa Tangazo: 1727477
TSh 35,000

Uvuvi wa kisasa

Kinondoni, Goba Dar Es Salaam
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Hali
Mpya
Maelezo

MAALUM KWA WAVUVI

Wavuvi wanapoenda kuvua samaki usiku huweka taa zao juu ya frem ya miti, fremu hii huitwa SKIMAI, Miaka mingi sasa fremu hizi zimekua zikisababisha uharibifu wa mazingira kwa ukataji wa miti mara kwa Mara maana miti hii huoza.

Leo tuna bidhaa mpya, tumetenegeneza fremu hizi maridhawa kwa ajili ya uvuvi na shuguli za majini kwa kutumia mbao za plastiki.

Kifaa hiki kimetengenezwa asilimia 100% Kutokana na nguzo na mbao za plastiki.
Haiwezi kuoza, ni imara, inadumu muda mrefu, haiwezi liwa na wadudu au viumbe wowote wa majini. Inavutia na rafiki wa mazingira, Bei yake ni nafuu zaidi.

Abdallah Issa
Abdallah Issa
Mwanachama tangu 13. Mar '19 3 Total Ads / 2 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Activate Notifications
To receive the latest updates & news
Subscribe
Deactivate Notifications
To stop receiving the latest updates & news
Unsubscribe
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!