Nyumba inavyumba iko nyegezi inavyumba 4 viwili ni master ina p.toileti,sittingroom,dinningroom,store,kitchen, nyumba ina stoo,jiko,choo,na bafu nje hati miliki ipo. Kutoka lami hadi nyumba ilipo ni mita 100. Ghalama ya kuonyeshwa nyumba (savei) ni sh 20,000/= karibuni sana kuwai kwako ndo kutafanya uweze kupata iyo nyumba. Nyumba ni kubwa nzuri na inaulinzi wa kutosha na mzuri.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!