Nyumba iko mahina alayansi imepakana na shule ya sekondali pamoja na hoteli iko pembezoni mwa barabara kuu inayotajiwa kuwekewa lami inauzwa milioni 80,000,000/= inavyumba 6, dinning room,sitting room,store & kitcheni,nyumba inakiwanja chenye ukuwa wa 65*35 hati ipo.gharama za kuona nyumba (savei) ni sh 20,000/=Karibuni sana.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!