Eneo hili kubwa sana 40X75 lenye fensi na nyumba hii ambayo haijafanyiwa finishing vizuri linauzwa55m ameshavuta maji na. Ueme lipo Buhongwa pazuri sana amajirani zake wako vizuri sana eneo waweza jenga nyumba zingine kama nne za wapangaji pamoja na fremu za maduka kama ishilini au wawezajenga hoteli kubwa na nzuri
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!