Nyumba iko buhongwa msabe school inavyumba vitatu kimojawapo ni master sitting room,dinning room, kitchen,store,p.toileti. ukubwa wa eneo ni SQM 900 nyumba ni kubwa na iko pazuri sana. gharama za kuhonyeshwa (savei) ni sh 20,000= tuu. Karibuni sana ofisi zetu zipo wazi kuanzia saa 8:30am➡️6:00pm.
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!