Nyumba IPO Nyakato jirani na loleto inavyumba vitatu viwili master ina p.toileti,sitting room, dinning room, store,kitchen, ukubwa wa kiwanja ni SQM 900 nyumba iko ndani ya fence nyumba ni mpya. Ghalama ya kuonyeshwa nyumba (savei) ni sh 20,000/= nyumba ni yatatu kutoka lami
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!