Tunawaunganisha wanunuzi na wauzaji Tanzania tangu 2009!
 
23. Jul, 10:48
Utambulisho wa Tangazo: 1988427
TSh 1,100,000

NYUMBA INAYOJITEGEMEA NUSU INAPANGISHWA UPANGA.

Ilala, Upanga Mashariki Dar Es Salaam Ally Khan Road
Maelezo ya Bidhaa
Bei Maelewano
Ndiyo
Terms
Inahitaji Kodi ya Miezi Sita
No of bedrooms
3
No of bathrooms
2
Real Estate Type
Nyumba Kubwa
Maelezo

Jirani yako wa upande wa kulia na kushoto wanatenganishwa nawe na ukuta. Unaingia katika nyumba kutoka katika barabara ya mtaa kupitia nyuma au mbele ya nyumba bila kizuizi. Mbele na nyuma ya nyumba kuna nafasi ya wazi kwa ajili ya matumizi kama watoto kucheza. Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ambapo kimoja kipo nje. vyumba vingine viwili vipo juu. Chini kuna sebule, jiko na mahala pa kula.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Kitomai
Kitomai
Mwanachama tangu 27. Jul '12 284 Total Ads / 115 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Wasiliana na Muuzaji
Contact via Phone
Contact via Chat
Ripoti Tangazo Hili
Kataa
Activate Notifications
To receive the latest updates & news
Subscribe
Deactivate Notifications
To stop receiving the latest updates & news
Unsubscribe
Jiunge na jarida letu

Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!