Vyombo vya ndani vinakodishwa, vipo katika hali nzuri, vyombo hivyo ni vitanda, set ya viti, meza ya chakula, meza ndogo, jiko la ges na mtungi wake, fridge.
Vyombo hivi ni kwa ajili ya kuwasaidia wale wageni wanaokuja Mbeya hawataki kukaa hotelini au kukaa nyumba zenye vitu ndani.