Mosquitoes net
Net za kisasa za pembe 4 badilisha mwonekano wa chumba chako na kua cha mvuto wa kipekee kwa kutumia neti hii .Inanguzo 4 zachuma zinazo simama kila pembe ya kitanda .
Zinafunga kitanda cha 5,6 na 6,6.
Kuna rangi ya pink, papo,cream,nawhite .
Tunachagua tunavyovipenda na tunakutumia bidhaa moto moto kila wiki!!